
Bandwith Yako, Mapato Yako
NetPesaX ni mfumo rahisi unaokuwezesha kushiriki sehemu ndogo ya intaneti yako na kupata malipo kila siku.
Unda akaunti yako ya NetPesaX kwa ada ndogo.
Washa data au Wi-Fi kwa dakika chache. Mfumo utaanza kufanya kazi.
Pokea malipo kila siku kulingana na matumizi halali ya bandwidth yako.
Bandwidth ni uwezo wa intaneti kusafirisha taarifa (data) kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Fikiria bandwidth kama barabara.
NetPesaX hutumia sehemu ndogo tu ya uwezo huo bila kuathiri matumizi yako ya kawaida.
Bandwidth unayoshiriki hutumiwa na makampuni na mifumo ya kimataifa kwa shughuli mbalimbali halali kama:
Kuboresha kasi na ubora wa mitandao duniani.
Kukusanya taarifa za utafiti wa masoko na mitandao.
Kusaidia kufundisha bots na mifumo ya AI kupitia data halali.
Kusaidia tafiti za teknolojia mpya na huduma za mtandao.
NetPesaX hutumia miundombinu ya bandwidth-sharing inayotambulika duniani.
Tunakusitiza usalama wa data yako. Tumia intaneti yako kwa amani, mfumo ni salama na unafuatilia kila kitu kupitia akaunti yako.
Unacholipia: Usajili wa akaunti na kuunganishwa kwenye mfumo.
Mapato yanaweza kutofautiana kulingana na matumizi ya mfumo, upatikanaji wa bandwidth na mahitaji ya mtandao. NetPesaX haitoi ahadi ya kiwango maalum cha mapato kwa kila mtumiaji.